Hii ni mara ya pili kwa sokwe Natalia kupoteza mtoto. Alijifungua mwanzoni mwa Februari mwaka jana na kila kitu kilionekana kuwa sawa katika mbuga ya wanyama ya Bioparc, katika jiji la Valencia, ...